Katibu Tawala Mkoa wa
Geita Severine Kahitwa akifanya utambulisho wa wageni wakati wa Sherehe ya
kuuaga Mwaka 2013 na kuukaribisha Mwaka 2014.
Wednesday, 15 January 2014
Tuesday, 14 January 2014
Thursday, 9 January 2014
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh. Magalula Said Magalula akifafanua kuhusu utekelezaji wa miradi ya barabara Mkoa wa Geita |
MKUU WA MKOA APONGEZA
UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA MKOA WA GEITA
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe.
Magalula Saidi Magalula amewapongeza viongozi na watu mbalimbali wote
waliohusika kwa namna yeyote ile katika usimamizi wa utekelezaji wa miradi yote
ya barabara inayotekelezwa ndani ya Mkoa wa Geita.
Wednesday, 1 January 2014
MATOKEO DARASA LA SABA
KIWANGO CHA UFAULU MTIHANI WA DARASA LA SABA CHAONGEZEKA MKOA WA GEITA.
Wanafunzi 29383 waliomaliza elimu ya msingi wakiwemo wavulana 14535 na wasichana 14848 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani mkoani Geita.
Akitangaza matokeo hayo,kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Geita ,Bw.
Subscribe to:
Posts (Atom)