MAWASILIANO YA BLOG

KWA MAONI NA USHAURI WASILIANA NA OFISI YA HABARI NA MAWASILIANO KWA SIMU NAMBA 0764 143 977 AU E-MAIL: habarigeita@gmail.com

Thursday 29 May 2014

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Magalula Saidi akimkabidhi Madawati yaliyotolewa na Benki ya NMB Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Geita Martine Kwilasa wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya halmashauri ya mji wa Geita.