![]() |
| Viongozi mbalimbali wa Serikali Mkoa wa Geita wakiwa wamekaa pamoja na wanafunzi kwenye madawati 100 yaliyotolewa na PSPF Mkoa wa Geita. |
Friday, 11 November 2016
PSPF MKOA WA GEITA WACHANGIA MADAWATI 100 YENYE THAMANI YA TSHS 7.5 MILIONI MKOANI GEITA
![]() |
| Wanafunzi wakiwa wamekalia sehemu ya madawati iliyochangwa na mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF |
Subscribe to:
Comments (Atom)







