Tuesday, 2 February 2016
| Wananchi wakimsikiliza Makamu wa Rais. |
| Makamu wa Rais akikata utepe wakati akizindua mitambo ya kuzalisha na kuchuja maji katika eneo la Nyamkanga Mradi huu utahudumia wananchi zaidi ya 4000. |
| Mitambo ya ujenzi wa barabara iliyonunuliwa na Halmashauri ya Mji Geita na kuzinduliwa na Mheshimiwa Samia Suluhu Makamu wa Rais. |
Subscribe to:
Comments (Atom)