MAWASILIANO YA BLOG

KWA MAONI NA USHAURI WASILIANA NA OFISI YA HABARI NA MAWASILIANO KWA SIMU NAMBA 0764 143 977 AU E-MAIL: habarigeita@gmail.com

Friday 15 November 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI MKOA WA GEITA.




Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete amewataka  viongozi na wazazi  Mkoa wa Geita kuhakikisha kuwa wanafunzi  wote walioacha masomo kwasababu mbalimbali wanatafutwa na kurudishwa shuleni.

Thursday 14 November 2013

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA ZIARA YA RAIS KIKWETE MKOANI GEITA

 














Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya M. Kikwete akipata maelezo ya mradi wa uchinjuaji dhahabu wa Nyamigogo kutoka kwa Mbunge wa Nyang'hwale Mhe. Hussein Nassor Amar, wa kwanza kulia.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dkt. Jakaya M. Kikwete akiwasalimu wananchi wakati wa ziara yake kuelekea Wilaya ya Nyang'hwale Mkoani Geita.