Wednesday 19 August 2015
Mradi wa Tanki la maji Kilimahewa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ambao ulizinduliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2015 unaosaidia zaidi ya wananchi 2500 wa Ushirombo. |
Kiongozi wa Mbio za Mwenge akimkabidhi mama Chandarua chenye dawa kuonyesha juhudi za serikali za kupambana na ugonjwa wa malaria ili kuhakikisha kuwa wananchi wanakuwa na afya njema wakati wote. |
Subscribe to:
Posts (Atom)