MAWASILIANO YA BLOG

KWA MAONI NA USHAURI WASILIANA NA OFISI YA HABARI NA MAWASILIANO KWA SIMU NAMBA 0764 143 977 AU E-MAIL: habarigeita@gmail.com

Wednesday 15 January 2014

Katibu Tawala Mkoa wa Geita Severine Kahitwa akifanya utambulisho wa wageni wakati wa Sherehe ya kuuaga Mwaka 2013 na kuukaribisha Mwaka 2014.
Viongozi na watumishi mbalimbali wa serikali wakiwa katika Sherehe ya Kuuga Mwaka 2013 na kuukaribisha Mwaka 2014.


Viongozi mbalimbali wa madhehebu ya dini Mkoa wa Geita wakiwa katika Sherehe ya kuuaga Mwaka 2013 na kuukaribisha Mwaka 2014.
Mkuu wa Mkoa wa Geita  Mhe. Magalula S Magalula kulia akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa Severine Kahitwa wakati wa sherehe ya kuuga  Mwaka 2013 na kuukaribisha Mwaka 2014.
Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Ibrahimu Marwa akizungumza wakati wa Sherehe,  kulia kwake ni  Mh.Lolencia Bukwimba (Mb) viti maalum, kushoto ni Mhe.Rodrick Mpogolo Mkuu wa Wilaya ya Chato na Mhe. Amani Mwenegoha Mkuu wa Wilaya ya Bukombe.

Tuesday 14 January 2014

Watumishi wakisherekea wakati wa Sherehe ya kuuaga Mwaka 2013 na kukaribisha Mwaka 2014

Thursday 9 January 2014


Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh. Magalula Said Magalula akifafanua kuhusu utekelezaji wa miradi ya barabara Mkoa wa Geita

MKUU WA MKOA APONGEZA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BARABARA MKOA WA GEITA
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Magalula Saidi Magalula amewapongeza viongozi na watu mbalimbali wote waliohusika kwa namna yeyote ile katika usimamizi wa utekelezaji wa miradi yote ya barabara inayotekelezwa ndani ya Mkoa wa Geita.

Katibu Tawala Mkoa wa Geita Bw. Severine Kahitwa katikati  akitoa maelekezo kwa wajumbe wakati wa kikao cha Bodi ya ushauri wa Barabara Mkoa wa Geita kutoka kulia ni mhe. Magalula Saidi Mkuu wa Mkoa  kushoto ni Ndg.Senkuku Harun meneja wa Tanroads  Mkoa wa Geita.

Wednesday 1 January 2014

MATOKEO DARASA LA SABA


KIWANGO CHA UFAULU MTIHANI WA DARASA LA SABA CHAONGEZEKA MKOA WA GEITA.

Wanafunzi 29383 waliomaliza elimu ya msingi wakiwemo wavulana 14535 na wasichana 14848 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani mkoani Geita.
Akitangaza matokeo hayo,kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Geita ,Bw.