PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA ZIARA YA RAIS KIKWETE MKOANI GEITA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya M. Kikwete akipata maelezo ya mradi wa uchinjuaji dhahabu wa Nyamigogo kutoka kwa Mbunge wa Nyang'hwale Mhe. Hussein Nassor Amar, wa kwanza kulia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia Dkt. Jakaya M. Kikwete akiwasalimu wananchi wakati wa ziara yake kuelekea Wilaya ya Nyang'hwale Mkoani Geita.