Mradi wa Tanki la maji Kilimahewa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ambao ulizinduliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2015 unaosaidia zaidi ya wananchi 2500 wa Ushirombo.
Mradi wa kisima kirefu cha Maji katika Kijiji cha Nyamalulu Halmashauri ya Wilaya Geita. Mradi huu ulizinduliwa na mbio za Mwenge 2015 hivyo kuwafanya wananchi wa kijiji hicho kupata maji safi na salama.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa 2015 Juma Chum akizindua Trekta la Kijiji cha Nyamalulu Halmashauri ya Geita wakati wa mbio hizo wilayani Geita.Mradi huu unatarajia kusaidia wananchi katika usafirishaji wa mbolea mashambani na pia katika shughuli za kilimo kama vile kulima maeneo makubwa hivyo kuongeza uzalishaji wa mazao.