Makamu wa Rais akiweka jiwe la msingi la uzinduzi wa mitambo ya kuzalisha maji Nyankanga Geita Mjini ambayo itazalisha maji ya kutosha watu zaidi ya 4000 itakapokamilika.Mradi huo unatekelezwa kati ya serikali na mgodi wa Geita Gold Mine kwa lengo la kuhakikisha kuwa wananchi wanapata maji safi na salama.
Makamu wa Rais akikata utepe wakati akizindua mitambo ya kuzalisha na kuchuja maji katika eneo la Nyamkanga Mradi huu utahudumia wananchi zaidi ya 4000.