Katibu Tawala Mkoa wa Geita Bw. Severine Kahitwa katikati akitoa maelekezo kwa wajumbe wakati wa kikao
cha Bodi ya ushauri wa Barabara Mkoa wa Geita kutoka kulia ni mhe. Magalula Saidi
Mkuu wa Mkoa kushoto ni Ndg.Senkuku Harun meneja wa Tanroads Mkoa wa Geita.