PICHA ZA MATUKIO YA SHEREHE YA KUUAGA MWAKA 2013 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2014 ILIYOFANYIKA TAREHE 10/01/2014 MKOANI GEITA.
Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Magalula S. Magalula
akihutubia wakati wa Sherehe ya kuuaga Mwaka 2013 na kuukaribisha Mwaka 2014 zilizofanyika
katika ukumbi wa Desire Park Mjini Geita