Mbele kabisa ni Katibu Tawala Msaidizi Seksheni ya Serikali za Mitaa ambaye pia alichaguliwa kuwa Katibu Msaidizi wa Baraza la wafanyakazi Mkoa wa Geita Bib.Sania Mwangakala akifuatilia jambo na wajumbe wengine katika uzinduzi huo wa Baraza la wafanyakazi uliofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa Mkoani Geita tarehe 12/02/2014.