M/kiti wa BARAZA la wafanyakazi na RAS Geita bw. Severine Kahitwa katikati kulia ni Katibu wa TUGHE Mkoa wa Geita bw. Samweli M . Magero na kushoto ni Katibu wa BARAZA hilo bw. Manase Ndoroma ambaye pia ni Mkuu wa kitengo cha sheria ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita .