Katibu Tawala Msaidizi Idara ya Uchumi na Uzalishaji Mkoa wa Geita Emil Kasagala akieleza mbele ya wadau namna kilimo cha Mkataba cha pamba kinavyotekelezwa katika Mkoa wa Geita katika kikao cha kufanya tathimini ya kilimo hicho kwa msimu unaokwisha na namna Mkoa ulivyojipanga kwa msimu mpya wa kilimo hicho.