Mwenyekiti wa Ulinzi shirikishi Mkoa wa Geita Atanazy Enyasi akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Geita Mhe. Magalula Saidi zawadi kwa ajili ya askari waliofanya kazi nzuri ya kupambana na majambazi Mkoani Geita hivi karibuni.