KATIBU TAWALA MPYA MKOA WA GEITA AKABIDHIWA RASMI OFISI AWATAKA WATUMISHI KUONYESHA USHIRIKIANO KATIKA UTENDAJI KAZI
Katibu Tawala Mkoa wa Geita ndugu Charles Pallangyo wakwanza kulia walio simama akikabidhiwa rasmi nyaraka za Ofisi na aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Geita Severine Kahitwa ambaye amehamia Mkoa wa Kilimanjaro.
Aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Geita Ndugu Severine Kahitwa akiweka saini katika nyaraka mbalimbali za serikali na kumkabidhi rasmi nyaraka hizo Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Geita Ndugu Charles Pallangyo.