Makatibu Tawala wa Mikoa ya Geita na Kilimanjaro wapili na watatu walio kaa kutoka kulia wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa idara ya Elimu ofisi ya Mkuu wa Mkoa Geita wakati wa sherehe fupi ya makabidhiano ya Ofisi baina ya viongozi hao.Wengine walio kaa wakwanza kushoto ni Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndugu Samson Mashalla na wakwanza kulia ni Katibu Tawala Msaidizi Idara ya Elimu Bi Ephrasia Buchuma.