Vikundi vya Kwaya kutoka Mgusu vikitumbuiza katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani. |
Viongozi mbalimbali wa serikali na taasisi binafsi wakiwa wamejitokeza katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani ambayo katika Mkoa wa Geita ilifanyika kijiji cha Mgusu wilayani Geita. |