Mkulima wa zao la Pamba kutoka wilaya ya Nyang'hwale Mkoa wa Geita Masoud Mtolle akichangia mada wakati wa Mkutano wa Sekta ndogo ya wadau wa Pamba Mkoa wa Geita. |
Wawakilishi wa Wakulima wa Pamba Mkoa wa Geita wakifuatilia mada wakati wa Mkutano. |
Mkulima wa zao la Pamba Mkoani Geita Ndugu Emmanuel Shija akichangia mada katika Mkutano wa Wadau wa Sekta ndogo ya Pamba Mkoa wa Geita. |