Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais akikata utepe na kuweka jiwe la msingi katika majengo ya wodi za huduma ya dharula (ICU) ambayo yalikarabatiwa na kuwekewa vifaa vipya kwa ajili ya huduma hizo.Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu wakwanza kushoto.