Mgeni rasmi katika uzinduzi wa sherehe ya siku ya maonyesho ya wakulima (nanenane) Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Geita Magalula Saidi Magalula akitembelea mabanda mbalimbali ili kujionea shughuli zinazofanywa na wakulima,wataalamu pamoja na wadau.
Mhe.Magalula Saidi Magalula Mkuu wa Mkoa wa Geita wakwanza kulia na Mhe. Evarist Ndikilo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wapili kutoka kulia na viongozi mbalimbali wa Mikoa na Wilaya wakitembelea mabanda kujionea shughuli na bidhaa mbalimbali za kilimo wakati wa sherehe ya uzinduzi wa siku ya wakulima (nanenane)kanda ya ziwa.