Mganga Mkuu wa Mkoa Geita Dkt. Joseph Kisala akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa baraza la wafanyakazi Mkoa wa Geita wakati wa kikao kilichofanyika tarehe 29/04/2015kuhusu utaratibu wa malipo ya posho ya muda wa ziada wa kazi kwa madaktari na wauguzi wa hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati.