Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi Mkoa wa Geita wakifuatilia kwa karibu makaburasha wakati wa kikao cha baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Geita kwa lengo la kujadili changamoto zinazowakabili wafanyakazi na kuzitafutia ufumbuzi.(Picha-Afisa Habari RS-GEITA)