Katibu wa kikundi cha ufugaji Nyuki cha Ikina Faustine Ntaliyo akisoma taarifa ya kikundi hicho mbele ya mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Magalula Saidi wa nne kutoka kushoto, wa kwanza kutoka kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita Severine Kahitwa, wapili ni Katibu Tawala Msaidizi Idara ya uchumi na uzalishaji ndg: Emil Kasagala na watatu ni Mkuu wa Wilaya ya Geita Mhe. Manzie Mangochie.