Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita Severine Kahitwa katikati akitoa maelekezo ya ugawaji wa vifaa vya Afya n Elimu vilivyotolewa na Benki ya NMB Mkoa wa Geita,wakwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Magalula Saidi na watatu kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mbogwe Bi; Husna Mwilima.