MAWASILIANO YA BLOG

KWA MAONI NA USHAURI WASILIANA NA OFISI YA HABARI NA MAWASILIANO KWA SIMU NAMBA 0764 143 977 AU E-MAIL: habarigeita@gmail.com

Thursday, 29 May 2014

Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya Nyang'hwale akikabidhiwa mashuka na Mkuu wa Mkoa wa Geita.mashuka hayo 100 yanakwenda katika kituo cha Afya kharumah wilaya ya Nyang'hwale.