Viongozi wa Mkoa wa Geita na Benki ya NMB wakikagua madawati 100 yaliyotolewa na Benki hiyo katika Mkoa ili kusaidia kupunguza tatizo la wanafunzi wengi wa shule za msingi kukaa chini,madawati yote 100 yalipelekwa shule ya Msingi Nyanza ili kumaliza kabisa tatizo la madawati katika shule hiyo.
|