MAWASILIANO YA BLOG

KWA MAONI NA USHAURI WASILIANA NA OFISI YA HABARI NA MAWASILIANO KWA SIMU NAMBA 0764 143 977 AU E-MAIL: habarigeita@gmail.com

Thursday, 29 May 2014

Viongozi wa Mkoa wa Geita na Benki ya NMB wakikagua baadhi ya vifaa vilivyotolewa na Benki hiyo ili kusaidia huduma za Afya na Elimu katika Mkoa wa Geita.