MAWASILIANO YA BLOG

KWA MAONI NA USHAURI WASILIANA NA OFISI YA HABARI NA MAWASILIANO KWA SIMU NAMBA 0764 143 977 AU E-MAIL: habarigeita@gmail.com

Thursday, 29 May 2014

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Magalula Saidi akitoa ufafanuzi  kwa wadau wa maendeleo juu ya mgao wa vifaa vilivyotolewa na Benki ya NMB kwa Mkoa wa Geita.