MAWASILIANO YA BLOG

KWA MAONI NA USHAURI WASILIANA NA OFISI YA HABARI NA MAWASILIANO KWA SIMU NAMBA 0764 143 977 AU E-MAIL: habarigeita@gmail.com

Thursday 29 May 2014

Mkuu wa Mkoa wa Geita Magalula Saidi akimkabidhi mashuka Mkuu wa wilaya ya Mbogwe Bi:Husna Mwilima, mashuka hayo 200 yanakwenda katika vituo vya Afya vya Masumbwe na Iboya  wilayani Mbogwe kila kituo kilipata mashuka 100.