Wadau wa Elimu Mkoa wa Geita wakiwa katika moja ya Nyumba za walimu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Nyankumbu muda mfupi baada ya kukagua ujenzi huo ambao unadhaminiwa na Mgodi wa Geita Gold Mine.Walio mstari wa kwanza kutoka kushoto wakwanza ni katibu Tawala wa Mkoa Bw; Severine Kahitwa, wapili ni Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Amani Mwenegoha na wa tatu ni Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe Magalula Saidi.