Wednesday, 19 August 2015
Mradi wa Tanki la maji Kilimahewa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe ambao ulizinduliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2015 unaosaidia zaidi ya wananchi 2500 wa Ushirombo. |
Kiongozi wa Mbio za Mwenge akimkabidhi mama Chandarua chenye dawa kuonyesha juhudi za serikali za kupambana na ugonjwa wa malaria ili kuhakikisha kuwa wananchi wanakuwa na afya njema wakati wote. |
Friday, 10 July 2015
FAHAMU YALIYOJILI MKOANI GEITA WAKATI WA UFUNGUZI WA TAMASHA LA LIVE YOUR GOALS NA MAFUNZO YA GRASSROOTS YALIYOANDALIWA NA TFF PAMOJA NA FIFA
Thursday, 9 July 2015
Monday, 6 July 2015
Thursday, 30 April 2015
FAHAMU YALIYOJILI KATIKA KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI MKOA WA GEITA LILILOFANYIKA TAREHE 29/04/2015
Thursday, 26 March 2015
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI ATEMBELEA MKOA WA GEITA WANANCHI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI ILI KUJILETEA MAENDELEO NA KUKUZA UCHUMI WA NCHI.
Mhe. George Simbachawne Waziri wa Nishati na Madini akikagua shughuli za uchimbaji wa madini ya dhahabu katika Mdodi wa Busolwa Mine wakati wa Ziara yake Mkoa wa Geita. |
Wednesday, 11 March 2015
MKOA WA GEITA WAWAFARIJI WAANGA WA MAAFA YA MVUA KUBWA HUKO MWAKATA WILAYA YA KAHAMA
Subscribe to:
Posts (Atom)