Kiongozi wa Mwenge akijionea shughuli za ufuaji vyuma huko Bukoli Geita |
Mkimbiza Mwenge kitaifa akizindua barabara ya mtaa huko Nyarugusu,barabara hiyo imejengwa kwa kiwango cha changalawe. |
Uzinduzi wa barabara ya lami ya NMB,GESECO |
Kiongozi wa mbio za Mwenge akiongea na wananchi wa Butobela baada ya kuzindua mashine ya kukamua alizeti ya kikundi cha vijana. |
Kiongozi wa mbio za Mwenge akizindua Klabu ya kupinga Rushwa Bulela Sekondari |