Kiongozi wa Mbio za Mwenge Rachael Kassanda akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Geita wakati wa mbio hizo Mkoani humu ambapo aliwataka wananchi kuidumisha amani iliyopo ili wazidi wajipatie maendeleo,pia aliwataka wananchi waepukane na vitendo vya Rushwa, Madawa ya kulevya pamoja na Ukimwi.