Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe.Magalula Said Magalula wapili kutoka kulia kwa walio simama akijionea namna shughuli za utoaji chanjo, matone na dawa za minyoo kwa watoto wa miezi 9 hadi chini ya miaka 15 zinavyoendelea wakati wa uzinduzi wa chanjo ya Surua- Rubella Mkoani Geita,wakwanza kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa Dr.Joseph Kisala.