Mkuu wa Mkoa wa Geita mhe Magalula Saidi wapili kutoka kulia akipata maelezo kutoka kwa mhudumu wa Afya namna shughuli za utoaji chanzo zinavyoendelea wakati wa uzinduzi wa chanjo hizo Mkoani Geita.Wakwanza kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa Geita Dr.Kisala na watatu ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita ndugu Severine Kahitwa.